Simama imara umtetee Bwana Yesu Simama imara umtetee Bwana Yesu; Simama imara umtetee Bwana Yesu; Mtetee Yesu Naye atakutetea. Wandungu simameni mtetee BwanaYesu x3 Mteteeni Yesu Naye atawatetea.. Wadada simameni mtetee Bwana Yesu x 3 Mteteenini Yesu Naye atawatetea.Back to Hymn List