Cha kutumaini sina Ila damu yake Bwana Sina wema wa kutosha Dhambi zangu kuziosha. CHORUS Kwake Yesu nasimama Ndiye mwamba ni salama, Ndiye mwamba ni salama. Njia yangu iwe ndefu Yeye hunipa wokovu Mawimbi yakinipiga Nguvu zake ndizo nanga. Nikiitwa hukumuni Rohoni nina amani Nikivikwa haki Yake Sina hofu mbele Zake. Damu Yake na sadaka Nategemea daima Yote chini yakiisha Mwokozi atanitosha. NIKIITWA HUKUMUNIBack to Hymn List