TUKO SAFARINI
Tuko safarini kwenda
juu mbinguni
Makao ya wenye furaha upendo
Ninyi mtangao msipotezao
Semeni hamwendi, kule
juu mbinguni.
CHORUS
Hamwendi mbinguni,
hamwendi mbinguni
Semeni hamwendi, kule juu mbinguni
Kwenye nchi hiyo wako watukufu
Hawana uchungu wala maumivu
Mliolemewa na mizigo mizito
Semeni hamwendi,
kule juu mbinguni.
Mbele ya kuitwa walio watakatifu
Huwa na makao yatengeneavyo
Milango nzinara hungarisha sana
Semeni hamwendi kule
juu mbinguni.
Mbele askari mbinguni ni yenu
Punde mtaona utainu wa kule
Kitambo kidogo tutafika huko
Ebu njooni nyote mje kwake Yesu.
HAMWENDI MBINGUNI,
Back to Hymn List