KIPELEKE CHOMBO MBALI NA PWANI

Kama bahari ma mawimbi mengi
Ukiona shaka na hofu
Ikiwa huna budi kuvuka ng’ambo
Kwa kutii neno la Bwana.

CHORUS
Kipeleke chombo mbali na pwani
Ila mimi namungoja Yesu
Kale ufuoni tengeneza nyavu
Utaona shabaha Yake.

Ikiwa utaona shida na giza
Mkombozi anazijua
Usikate tamaa Bwana akuona
Kwa mkono (wake) akuinua.

Zipeleke dhambi zako zote Zote
Msalabani uzitubu
Utaoshwa Naye kwa damu
ya bure
Utaoua shabaha Yake.

Ikumbuke ajabu aliyoitenda
Akilisha watu ma elfu
Yesu ni Yeye, Yule jana na leo
Na milele habadiliki

Ukiomba lolote kwa Jina lake
Mkombozi anajua yote
Usikate tamaa Bwana akuona
Kwa kuwa Yeye in mwaminifu.
Back to Hymn List